Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


250,000
——
#APARTMENT MZURI INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI
《》《》《》
SIFA ZAKE
#Chumba cha kulaala
#Sebule
#Choo cha ndani
#Jiko kubwa
#Nyumba ipo ndani ya fence
#Umeme (MITAYAKO
《》《》《》
Bei ni 250,000/=×6
Nyumba ipo kilometa 2 Kutoka morogoro road Barabara safi UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI Usafili upo wa bajaji 700 UNA HAJA YA BODA
Contact
0653244031 __ 0675407514 __ 0789666554 __ 0746754075