Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KIBACHELA INAPANGISHWA
π₯ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#SEBULE NZURI
#JIKO ZURI
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI
#STORE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 200K X 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
ποΈ APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.