Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAAA KABISAAA ZINA PANGISHWA KIMARA KORONGWE KM.(1) KUTOKA BARABARA YA MOROGORO ROAD
📌USAFIRI UPO MWINGI WA BAJAJI TSH 500/=
BODA BODA ELFU 1000/= TUU.
⚡CHUMBA MASTER KIKUBWA
⚡SEBLE KUBWA SANA MNO
⚡JIKO KUBWA LA KISASA
⚡MAJI YANA FLOW NDANI
⚡UMEME LUKU WAWILI TUU
⚡NYUMBA IPO NDANI YA FENSI
⚡PARKING SPACE IPO KUBWA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI NI TSH 300,000/=X"4 "
CONTACT US :0712656027
WHATSAPP :0712656027