Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER
DK 15 KUTOKA STEND STOP OVER
USAFIRI UPO PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA ELF 15
UKILIPIA NYUMBA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZI MMOJA
___________________________________
SIFA YA NYUMBA
chumba sebule master bedroom
Na sheem nzuri ya kupikiya ipo
Nyumba mpya
Ipo mazingira salama sana
Ipo ndani ya fensi
Maji yapo chooni yanatoka vizuri
_____________________________________
KODI KWA MWEZI MMOJA NA MALIPO KWA MWEZI MMOJA
Kodi kwa mwezi ni laki mbilli tuuu
(200,000)
X 6
Mteja wangu hebu jitaidi kupiga simu
Usitume message uta chelewa kujibiwa
CALL 078481004