Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 10 KUTEMBEA KWA MIGUU PIKIPIKI ELF 1
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU 0755831740
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba NI chumba sebule master bedroom na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii haipo kwenye fensi Ira ina Mazingira mazuri sana usarama upo hatujawai kupata kesi ya kuibiwa
KODI YA PANGO
________________
kodi kwa mwezi ni laki mbili na ishilini tuu
(220,000)
X 5
Kwa maelezo zaidi Piga simu uhudumiwe kwa halaka zaidi
0677445508