Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







300,000X6 DAKIKA 5 KWAMIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
KIMARA STOPOVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI 300,000 x6
NI CHUMBA MASTER SEBULE JIKO
MAJI NDANI
KIMARA STOPOVER
UMBALI TOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 5
NYUMBA IPO NDANI YA UZIO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE ELF 15
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-