Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000X6)KIMARA KOROGWE DK 12-15 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 11/11/2024 KUONA MALIPO RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO ANAHAMA JIONI
#SEBULE WASTANI
#CHUMBA MASTER
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCKS NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 12-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI BODA BUKU MPAKA GETINI
#BEI NI 250,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA BILA KUPUNGUA MIEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453