Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA ##250K
---------------
APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD. 
JINSI ILIVYO =
VYUMBA  3VYA KULALA KIMOJA MASTER 
SEBULE 
HAINA JIKO ( INA KIBARAZA )
PUBLIC TOILET 
TAILS 
MADIRISHA ALUMINIUM 
UMEME LUKU  SHEA WAWILI ( KUNA SUBMITER )
MAJI DAWASA YAPO  NJE 24 HOURS. 
MAZINGIRA MAZURI  HAINA FENSI GARI INAFIKA JIRANI NA NYUMBA. 
------
KODI NI LAKI  250,000 /=
KWA MWEZI 
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
---------
NOTE =
HII NYUMBA KWA MPANGAJI ANAETAKA VYUMBA 2 INAMFAA NA ICHO KIMOJA ANAWEZA KUFANYA JIKO.
 0655256419




















