Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 10, KUTOKA STEND KIMARA MWISHO USAFIRI UPO PIKIPIKI ELF 1,
KUPELEKWA KUONA ELF 15
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA HELA YA MWEZI MMOJA PINDI UTAKAPO KUWA UMELIPIA NYUMBA
_________________________________________
SIFA YA NYUMBA
hii nyumba NI chumba sebule master bedroom na jiko
nyumba hii ipo kimara mwisho
Ipo ndani ya fensi jamani
Inajitegemea umeme
Maji mnashea wawilli 2
Nyumba hii bado Ni mpya kabisa
UNA weza kutembeya kwa miguu DK 10 tuu
KODI YA PANGO KWA MWEZI MMOJA NA MALIPO KWA MWEZI MMOJA
kodi kwa mwezi ni laki mbilli tuuu mieezi sita 6
(200,000)
X 6
#0785889413
#0754589413
#0785889413