Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
🏘️ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#VYUMBA VYOTE VINAMAKABATI NDANI
#PUBLIC TOILET
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIYO INAPANGISHWA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
--------------
BEI NI 300,000/= X 6
---------
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI
--------
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5
-------------
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 👈
----------
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI1 👈
------------
What saapp number ⬅️ 0689-547258