Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NI STAND ALONE NZURI SANA INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA KOROGWE UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI KM.2
USAFIRI UPO WA UHAKIKA BODA ELFU MOJA BAJAJ DALADALA SH 5OO NA UKISHUKA TU UNATEMBEA DK.5
KODI NI TZS 4200K
VYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJA MASTAR SEBULE KUBWA SANA JIKO KUBWA LA KISASA LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZUR YA NDANI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM NDANI YA FENCE PARKING KUBWA FULL PERVING BLOCKS 🚫
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
MAKABATI YA NGUO VYUMBA VYOTE
CHANGAMKIA FURSA NDUGU MTEJA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA NI TZS.15000
UKIIPENDA NYUMBA NA UKILIPIA MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
CONT 👇
#0717671240 au what's up 👍🙏