Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT MPYA KABISA KALI SANA ZA KISASA ZINA PANGISHWA KIMARA KOROGWE KM1.5 KUTOKA LAMI BARABARA SAFI KABISA YA ZEGE KUINGIA TAR 1.1.2025 KUONA NA KULIPIYA LUKSA NA ZIMEBAKI 3 TU.
------
Chumba master
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Maji yana flow
Heater ya maji moto maji baridi
Full air condition
Cctv camera
Electronic fence
Paving block
Parking space kubwa sana
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=×6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
---------
Contact
0655256419