Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 × 6) KIMARA KOROGWE
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA MASTER BEDROOM KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
BEI NI 250,000/= X 6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE KILUNGULE
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU USAFIRI NI BAJAJI SH 500 NA UKISHA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
💥 UKILIPIA KODI PIA UTALIPIA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) KODI YA MWEZI MMOJA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300