Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NYUMBA NZURI INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA STOP OVER KODI NI150,000X3X4X5X6👈
UMBALI KUTOKA STENDI KM 2
USAFIR TAX 500👈
BAJAJI 1000👈
====
KODI 150,000X3X4X5X6👈
SIFA ZANYUMBA
NYUMBA INACHUMBA MASTA SEBLE KUMBWA
NAJIKO LAKE LIPO KWA PEMBENI KIDOGO
UMEME UNAJITEGEMEA
MAJI YANA FLOW NDANI DAWASCO MASAA 24
NYUMBA MPYA FENSI ITAJENGWA NDUGU MTEJA HII NYUMBA GARI HAIFIKI KWENYENYUMBA INAISHIA JIRANI
KWENDA KUONA NYUMBA SERVICE CHUGG 15000👈
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI 1 MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KWA MAWASILIANO PIGA CM USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
====.
CONT
0683234124
0718367179