Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







0679 997610 
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 350,000X6 
LOCATION KIMARA MWISHO KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700 UKISHUKA UNATEMBEA DK 1 UMEFIKA 
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
SIFA ZAKE 
___________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER 
#SEBULE KUBWA 
#JIKO KUBWA LA KISASA 
#PABLICK TOILET NDANI 
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 
#UMEME LUKU YAKO 
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ๐ซ
MAWASILIANO 
WSP 
0679 997610



















