Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(120,000 × 4,5,6) KIMARA TEMBONI
*APARTMENT NZURI SANA*
*BADO MPYAA* 🔥🔥
*INAPANGISHWA*
*KIMARA TEMBONI*
*ILIPWE LAKI MOJA NA ISHIRINI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA*
🏘️ *APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO*
*⚡CHUMBA MASTER*
⚡ *SEBULE SAFI*
⚡ *MAJI DAWASA YAPO KWA NJE*
⚡ *TILES/ GIPSUM*
⚡ *SLIDE WINDOW*
⚡ *LUKU WATATU
🏘️ *APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI*
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.*
*BAJAJI TSH 700/=*
*BODA BODA TSH 1000/=*
❌ *NYUMBA HII HAIPO NDANI YA FENSI, LAKINI USALAMA WAKE NI WA KUTOSHA,,*❌
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni Mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300