Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
CHUMBA MASTER BEDROOM INAPANGISHWA- KIMARA TEMBONI
chumba Cha kulala Kikubwa
Choo ndani
Kodi 80,000 Kwa mwezi X6
Umeme WA 2 Maji yanaflow chooni.
Umbali KM 3. toka kituoni Usafiri bajaji zipo zakutosha
HAKUNA fence USALAMA UPO
Kupelekwa kuona Nyumba elfu 15 itadumu mpaka Upate bila kuchajiwa Tena
malipo ya dalali nikodi ya Mwezi mmoja
⬇️
Simu/06 59 33 67 51
⬇️
Wsp/07 86 08 56 37