Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


0785299128
Apartment house for rent Kali Sana nzuri
Location kimara suka dakika 12 kutembea mpaka home
Kodi 150000 kwa Mwezi na dalali mwezi 1 Service 15000 kuona nyumba
Chumba kimoja master tu kikubwa Sana
Umeme luku
Maji dawasa ndan yanafloo
Paving block
Fully A/C ndani
Dalali ubungo mbezi kimara
0785299128