Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


🇹🇿 #APARTMENT #INAPANGISHWA
➖➖➖➖➖
📍Kimara Korogwe
🕑Dakika 5-6 kutembea Kutoka Mwendokasi, Barabara nzuri kwa Magari yote.
#SIFAZAKE
🔹Vyumba vitatu, Kimoja master
🔹Sebule kubwa
🔹Dining
🔹Jiko
🔹Public Toilet
🔹Umeme & Maji #Inajitegemea
🔹Fenced Car Parking kubwa
👉Hii Inakuwa wazi Tar 30/05/2024.
🔷Kodi Tsh 500, 000/=×6(Miezi Sita)
🔷Malipo ya Dalali Jose Tsh 500, 000/=
🔷Service Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu 👇
,
#0688573777. 📞&Whatsapp
,
#Follow us🙏
Karibu Sana Mteja😊