Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APATMENT MPYAAA KABISA JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA 
KODI 350,000X6 
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKONI KUNA FUNGWA MAKABATI YA KISASA
PUBLIC TOILET 
INA MAFENI NA AC
UMBALI DAKIKA 5 KWA MGUU 
LOCATION: KIMARA SUKA 
UMEME LUKU YAKO
MAJI BULE DAWASCO 
YANA TILILIKA NDANI
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO FULL PEVING BLOCK 
ITAKUWA TIYALI KWA KUINGIA KUANZIA TAREHE 10/3/2025
ILA KUONA NA KULIPIA LUKSA 
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
0713661530_0783661530




















