Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA KUBWA INA PANGISHWA KODI TSH 150,000X6
KIMARA SUKA MPYA MPYA
APARTMENT MPYA MPYA
KUNA CHUMBA MASTER SEBULE KUBWA
INA JITEGEMEA UMEME LUKU YAKO
KODI NI 150,000X6
UMBALI TOKA KIMARA SUKA KM 2
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA BODA 1000 UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 5
UMEME LUKU YAKO MAJI YANAFLOW NDANI
KUONYESHWA NYUMBA 15k
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp number 0689-547258