Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(200,000X6)KIMARA BARUTI DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAKUWA WAZI TAREHE 30/04/2024 KUONA MALIPO RUKSA
#CHUMBA MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANATOKA NDANI
LOCATION KIMARA BARUTI DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
BEI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
INAKUWA WA TAREHE 30/04/2023 KUONA MALIPO RUKSA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA TU
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453