Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
VYUMBA 2 VYA KULALA, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NDANI, MAJI DAWASA YANA FLOW NDANI
HAKUNA MASTER BEDROOM
NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA, INAJITEGEMEA KILA KITU NDANI
NYUMBA IKO UMBALI WA KM1, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
KODI 230,000/= KWA MWEZI
______________________________
What saapp number ⬅️ 0689-547258
SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA 15,000/=
_______
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1 👈