Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam





🔥 OFERTA YA CHUMBA – KIMARA SUKA 🔥
Hiki chumba ya kisasa kiko tayari kwa mpangaji:
✅ Chumba kikubwa sana
✅ Mazingira salama
✅ Wapangaji 3
✅ Maji na umeme vipo
✅ Nyumba ipo ndani ya fens
💰 Kodi: 80,000 tu kwa mwezi
🛋 Malipo: miezi 6
📍 Mahali: Kimara Suka – umbali wa 1.5km kutoka barabara kuu
📞 Wahi sasa: 0659244543