Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







NEW NEW APARTMENT ZIPO TATU TU KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI 
#MASTER BED ROOM KUBWA
#CHUMBA CHENYE CHOO NDANI 
#LUKU SUBMITER
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI ILA SIO YA KULAZA GARI 
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 8-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI 
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0715949085
0782838336




















