Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(150,000 × 6) KIMARA TEMBONI
_____
APARTIMENT IPO
KIMARA TEMBONI
_____
IPO KILOMETER 1.5 KUTOKA BARABARANI HADI KWENYE NYUMBA
_____
CHUMBA SEBULE CHOO NDANI
MAJI YANAFLOW NDANI
UMEME SUBMITER
IPO NDANI YA FENSI
KUNA MPANGAJI WANGU ANA HAMA TEREHE 15
MWEZI 2 KUONA NA KULIPIA RUKSA
KUPELEKWA KUONA 15000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
_____
_____
Dalali kimara suka Leonard
0719-092747
0683-387747
Napatikana muda wote karibuni sana wateja