Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA MASTER
===
Kodi 150,000/=× 6
===
Umbali Dk 10 kutembea
Kimara korogwe
===
Nyumba inafence isiyolaza gari
Tiles, gypsum,
Dirisha alminium,
Maji ndani
NB: ITAKUWA WAZI TAR.
26.08.2025.
KUONA NA KULIPA
RUKSA kama atakuwepo anaye toka
====
Kwa maelezo zaidi piga :--
0712528820
0685221354
Mr.