Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA KIMARA STOP OVER DK6 KWA MIGUU KUTOKA LAMI
-------
Chumba kikubwa
Seble kubwa
Jiko
Public toilet ndani
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Slide window
Ndani ya fence lakini ailazi gari ndani
---------
Service charge 15,000/=
Kodi 200,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2
-----------
Contact
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏
0713661530_0783661530