Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MPYA KABISA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI
-----
Chumba master
Seble kubwa
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence lakin ailazi gari
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 200,000/=×3
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 2
---------
Contact
#0676_218580(WhatsApp)
#0693_673010
#DALALI_BIG_KIMARA
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏