Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(400,000X6)KIMARA MWISHO
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#KIMOJAWAPO MASTER
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING
#JIKO KUBWA SANA
#PUBLIC TOILET
#STORE
#ZIPO APARTMENT 4 TUU KWENYE FENSI MOJA
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
BEI NI 400,000/=X 6👈
ILIPWE LAKI 4 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6👈 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KU LIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 BAJAJI 1000👈 BODABODA 1000 👈NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453