Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT ZINA PANGISHWA MPYA KABISA KIMARA MWISHO KM1.5 KUTOKA LAMI.
------
Chumba master
Seble kubwa
Jiko la kisasa lina wekwa kabati
Luku yako
Maji yana flow
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
-------
Service charge 15,000/=
Kodi 300,000/=ร6
--------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 3
---------
Contact
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐