Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(170,000 × 4) KIMARA MWISHO
LOCATION: KIMARA MWISHO
UMBALI WA KILOMETA (2) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASI
USAFIRI WA UHAKIKA
BAJAJ 700/=
UKISHUKA UNATEMBEA DK (6)
INA CHUMBA MASTER SEBULE JIKO
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWSCO NA PIA MAJI YANAFLOW CHOON
NDANI YA FENSI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
What saapp number ⬅️ 0689-547258