Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HOUSE FOR RENT STAND ALONE INAJITEGEMEA YENYEWE KWENYE ENEO MOJA KODI 400,000/ = X6
LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI 700 UNAWEZA PITIA UBUNGO RIVER SAID KOTE UNAFIKA
DALALI MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
SIFA ZAKE
____________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LINAFUNGWA
#PABLICK TOILET NDANI
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI
#UMEME LUKU YAKO
#FENSI ITAJENGWA PAKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ZINAWEKWA 🚫
NB: NYUMBA HII KUHAMIA TAREHE 30/1/2025 KUONA KULIPIA RUKXA WAI CHAPU NDUGU MTEJA
Kwa maelezo zaidi piga
0713661530_0783661530