Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
đź’ĄNyumba Mpya Inapangishwa, KIMARA MWISHO
đź“Ť300,000/= *6
______
__
• Chumba Master Kikubwa
• Sebule Kubwa
• Jiko Zuri lenye makabati
* UMEME na MAJI inajitegemea
* Maji Yanatoka ndani
#ipo Umbali wa dakika 10 tu kwa miguu
đź“Ś Note: Kodi Inaambatana na hela ya Tahadhari (caution money) 300,000/= unavyohama unarudishiwa
đź“Ś PS: Inakuwa Tayari aKuhamia tarehe 25/05/2024, kuona na kulipia ruksa
_____
#Malipo ya dalali Nasoni ni 300,000/=
#Service Charge 15,000/=
â„–: 0753-172-516