Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 15
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO USAFIRI BAJAJI ZIPO KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000 UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
hii nyumba NI chumba sebule na choo chake ndani Inajitegemea umeme maji yapo kwa nnje
Nyumba ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri tuu
Nyumba hii haina umbari ukishukatuu dk 1
Unafika kwenye nyumba
Kila mtu ana teck rake ramaji
KODI YA PANGO
________________
Kodi kwa mwezi ni laki moja nanusu tuu/=
(150,000)
X 6
KWA MAELEZO ZAIDI PIGA SIMU
###0655256419
###0760830706