Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI SANA ๐ฅ MPYA KABISA
CHUMBA MASTER SEBURE NA JIKO
NDANI YA FENCE
INAPANGISHWA
KIMARA TEMBONI
๐ฅ KODI YAKE 200K X4 //
๐๏ธ ILIPWE LAKI MBILI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA.
SIFA ZAKE NI:_
โก CHUMBA MASTER
โก SEBURE SAFI
โก JIKO SAFI
โก TILES
โก GIPSAM
โก ALMINIUM
โก MAJI DAWASA METER YAKE
โก MAJI YANAFLOW NDANI
โก UMEME UNAJITEGEMEA
โก PARKING KUBWA
๐ก APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2.
BAJAJI TSH700/=
BODA TSH1000/=
+----
๐น๐ฟ๐ก KARIBUNI SANA
0713320608
0686334182