Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(150,000 × 6) KIMARA STOP OVER
HAYA HII HAPA CHANGAMKIA FURSA BEI NI 150,000
LOCATION KIMARA STOP OVER
NI CHUMBA MASTER
SEBULE
NA JIKO
INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKO MAJI MITER YAKO YANAFLOW NDANI
NYUMBA IPO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD PIA UNAWEZA PITIA KIMARA MWISHO AU TEMBONI KOTE UNAFIKA
HAIPO NDANI YA FENSI ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA NA GARI INAFIKA HADI MLANGONI
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
KODI NI 150,000X6
KUONA NYUMBA SERVICES CHARGE NI SHILINGI 15,000
MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300