Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


*APARTMENT NZURI SANA*
*CHUMBA MASTER & JIKO*
*NDANI YA FENCE*
*INAPANGISHWA*
*KIMARA TEMBONI*
💥 *KODI YAKE 130K X5//*
📌 *ILIPWE LAKI MOJA NA THERATHINI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MITANO NA KUENDELEA.
*SIFA ZAKE NI:_
⚡ *CHUMBA MASTER
⚡ *JIKO SAFI
⚡ *TILES
⚡ *GIPSAM
⚡ *ALMINIUM
⚡ *MAJI DAWASA METER YAKE
⚡ *MAJI YANAFLOW NDANI
⚡ *UMEME WANASHEA W2.
⚡ *PARKING KUBWA
⚡ *FULL PAVING BLOCKS
🏡 *APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD MPAKA KWENYE NYUMBA NI KM2.
*BAJAJI TSH700/=
*BODA TSH1000/=
🇹🇿KARIBUNI SANA
CONTACT:: 0764575774