Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(200,000 ร 6) KIMARA SUKA
APARTMENT NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 200,000/= ร 6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#IPO NDANI YA FENSI
BEI NI 200,000/= ร 6
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300