Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


GOOD APARTMENT FOR RENT###600K
•••••••••••••••••••
NYUMBA NZURI YA FAMILIA INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 8 KUTOKA MOROGORO ROAD ##PIA UNAWEZA KUPITIA KIMARA KOROGWE NAPO UNAFIKA MPAKA KWENYE NYUMBA.
KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO NYUMBA MBILI ZENYE APARTMENT 3 NA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME.
SIFA ZA NYUMBA =
VYUMBA 4 VYA KULALA KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
DINING TABLE
STORE
JIKO LENYE MAKABATI
PUBLIC TOILET
TAILS
GYPSUM
SLIDE WINDOW
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA FULL PAVING BLOCK
------------------------
KODI NI LAKI 600,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
------------
SINA CHENI BIASHARA NAMALIZA NAONGEA NA MMILIKI.
COLL- 0655256419
WHATSAP-