Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


๐น๐ฟ #APARTMENT #INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara Mwisho
๐Dakika 8 Kutembea toka Mwendokasi.
#SIFAZAKE
๐นVyumba Viwili, Kimoja Master
๐นSebule
๐นDining
๐นJiko
๐นPublic Toilet
๐นUmeme & Maji #Inajitegemea
๐นFenced Car Parking
๐Ziko 4 Hapa, Na hii Moja ndo Iko Wazi
๐ถKodi Tsh 400 , 000/=ร6(Miezi Sita)
๐ถMalipo ya Dalali Tsh 400, 000/=
๐ถService Charge Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu ๐
,
#0688573777. ๐&Whatsapp
,
#Follow us๐
Karibu Sana Mteja๐