Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#KODI 250K MALIPO MIEZI X6
NEW APARTMENT MPIYA MPIYA MPIYA
LOCATION KIMARA KOROGWE 👉KWA MKUWA
KUTOKA MAIN ROD KM2 BAJAJI SH.500 UKISHUKA DK 15 KWA MGUU BODA SH.1000
SIFA ZA NYUMBA👇
CHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO FULL MAKABATI
TYRIES GPYSAMU
DILISHA ALUMINIAMU
UMEME MITA YAKO
MAJI YANA TIRIRIKA NDANI
HEATER MAJI MOTO
FULL AIC
PARKING SPACE KUBWA
PAVING BLOCK
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
KODI SH.250000 MALIPO MIEZI X6
KUONA NYUMBA SH.15000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA🤝
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI