Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI KM2 KUTOKA LAMI
---------
Chumba master kikubwa
Seble kubwa
Jiko
Kodi 150,000/= × 3
Tiles
Gypsum
Maji yana flow
Luku yako
Slide window
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
----------
Kodi 150,000/= × 3
------------
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 1.5
-------------
Contact:
0654101710
0787205300