Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
WAHI MAPEMA NYUMBA YA KUTEMBEA HII HAPA KIMARA TEMBONI
KODI 170,000X6
NI CHUMBA MASTER SEBULE VIKUBWA SANA
UMEME #LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD NI DAKIKA 8 KWA MGUU
KUONA NYUMBA SERVICES CHUG NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
0712656027
=====