Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


250K X6 INAPANGISHWA KIMARA KOROGWE UMBALI KUTOKA KITUO CHA MWENDO KASS NI DK.12 KUTEMBEA KWA MIGUU
VYUMBA VIWILI VYA KULALA HAKUNA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA LA KISASA NA PUBLIC TOILET NZUR YA NDANI
TYRIES GYPSUM MADIRISHA ALUMINIUM
NYUMBA HAIPO KWENYE FENCE LAKINI MAZINGIRA MAZURI NA SALAMA
UMEME LUKU YAKO PIA MAJI YANATIRIRIKA NDANI
-------------------
KODI NI LAKI 250,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA
MALIPO YA DALALI MWEZI
MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
----------------------
CONT
NO=0766825473
WSP=07884+0350