Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENTS MPYA KALIII ZINAPANGISHWA KIMARA MWISHO
====
A. Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 600,000 Kwa mwezi × 6
===
B: chumba cha kulala
Sebule
Choo ndani
Jiko kubwa
Kodi 500,000 Kwa mwezi × 6
===
Umbali KM 1.2 bodaboda 1000
==
Ndani ya fence parking IPO
==
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0710614924
0688653940
===