Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZUR INAPANGISHWA 
IPO KIMARA KOROGWE KM 1,7 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS 
USAFIRI BAJAJI 500 TU UKISHUKA KWENYE BAJAJI DK 5 UPO NYUMBAN BRBR NI RAFIKI KABISA HASA HASA HIKI KIPINDI CHA MASIKA
KODI NI 220,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 
SIFA ZAKE 
########
CHUMBA MASTER KIKUBWA 
SEBULE KUBWA 
JIKO ZURI KUBWA 
TILLES & GYPSUM 
ALUMINIUM 
LUKU YAKE 
MAJI MITA YAKE 
YANAFLOW NDAN 
NDAN YA FENSI 
PARKING IPO KUBWA 
PERVING BLOCK SAFI 
MAZINGIRA MAZURI 
NA USALAMA WA UWAKIKA 
MWENYENYUMBA HAKAI APO
WAI MAPEMA NDG MTEJA WANGU 
SERVICHAJ ELFU 15 . Ukilipia nyumba ni kodi ya mwezi mmoja malipo ya dalali 
# Simu 0757 404087




















