Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NEW NEW APARTMENT FOR RENT ###150K
-----------------------------------
NYUMBA MPYA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE UMBALI WA DK 10 MWENDO WA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD KOROGWE MWENDOKAS TERMINAL.
------
SIFA ZA NYUMBA =
CHUMBA KIMOJA MASTER
TAILS
GYPSUM
SLIDE WINDOW
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI
UMEME LUKU ( SUBMITER YAKO YA KISASA )
MAZINGIRA MAZURI SANA USALAMA UPO GARI INAFIKA MPAKA HAPO HAINA PARKING ILA KWA MTEJA MWENYE GARI PARKING IPO KWA MWENYE NYUMBA.
--------
KODI NI LAKI 150,000 /=
KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
DALALI KISMATI UBUNGO ON TUESDAY MOOD ππ₯²πΆππ
0693850032