Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(200,000 × 6) KIMARA BUCHA
APARTMENT NZURI YA KIBACHELA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA SIO VIKUBWA VYA WASTANI TU
#SEBULE NZURI
#JIKO ZURI
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI
#STORE
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
BEI NI 200,000 × 6
ILIPWE LAKI 2 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA BUCHA
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 BODABODA 1000
NOTE
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300