Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(230,000X6)KIMARA MWISHO 1.5KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BODA ELF MOJA, BAJAJI ZIPO
➖➖➖➖➖➖➖
NB:INAKUWA WAZI TAR 01\/03\/2025KULIPIA AU KUFANYA BOOKING KWA PESA YA ADVENCE RUKSA... MAONGEZI YA KODI YAPO KIDOGO
➖➖➖➖➖➖➖
KODI:(250,000X6)
➖➖➖➖➖➖➖
SIFA ZA NYUMBA
CHUMBA MASTER
SEBULE
JIKO
NDANI YA UZIO
INAJITEGEMEA KWENYE KIENEO CHAKE
➖➖➖➖➖➖➖
HUDUMA
LUKU YAKO
METRE YA MAJI YAKO
MAJI YANATOKA NDANI
PARKING
➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453